VIDEO: Gari Lagongana na Bajaj, Latumbukia Mtaroni
GARI aina ya Nissan lenye namba za usajili, T 949 BLV limetumbukia mtaroni asubuhi ya leo eneo la Bamaga-Mwenge jijini Dar, baada ya kugongana na Bajaj.
Mashuhuda wa tukio hilo waliozungumza na mtandao huu wamesema ajali hiyo…
