Mambosasa Afunguka Kuhusu Waliojeruhiwa Wakimuaga Magufuli
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema baadhi ya wananchi walioshiriki shughuli ya kumuaga Rais John Magufuli wamejeruhiwa baada ya kukanyagwa na wenzao.
Mambosasa ameelezea…
