Taarifa ya Seriali Kuhusu Mjamzito Aliyepasua Tumbo Lake na Kutoa Mtoto
Kuanzia Mei 30, 2019 kuna taarifa zilizosambaa na kutolewa na baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu mama mjamzito anayesemekana kujijeruhi maeneo ya tumboni na kupelekea kutoa mtoto tumboni, tukio lililotokea katika…
