Rais Samia: Wapiga Kelele Hao… Lazima Tukope – Video
Rais Samia Suluhu Hassan amesema lazima nchi ikope kwaajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ikiwamo ujenzi wa madarasa kwa kuwa fedha za tozo haziwezi kutosheleza mahitaji ya miradi hiyo.
Mkuu huyo wa nchi ametoa maelezo…
