EFG Inavyotengeneza Wanawake Wenye Nguvu ya Kiuchumi – Video
Equality for Growth (EfG) ni taasisi ya kitaifa yenye maono ya kutengeneza wanawake wenye nguvu kiuchumi katika sekta isiyo rasmi. Taasisi imejengwa katika muundo utakaoweza kuwawezesha wanawake wa sekta isiyo rasmi kuwa na…
