Mahakama Yamwachia Kulthum Mansoor Wa TAKUKURU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia kwa dhamana aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Kulthum Mansoor (57) aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi baada ya kufutiwa…
