RASMI : CARDI B ATANGAZA KUACHANA NA OFFSET WA MIGOS (VIDEO)
Rapa wa kike Cardi B ametangaza kuachana na mzazi mwenzake, ‘Offset’ anayeliunda kundi la Migos siku ya jumanne Disemba 5.
Cardi B ametangaza taarifa hizo kupitia akaunti yake ya instagram kwa video inayomwonyesha akisema,…
