Kumbe Dola Milioni 20 Kwa Kanye Hazikuwa Zawadi!
SI KWELI! Huku bifu la wanamuziki wawili, Jay Z na Kanye West likiendelea, kulikuwa na taarifa za chinichini zikisema kwamba zile dola milioni 20 zaidi ya bilioni 40 alizopewa Kanye West zilikuwa kama zawadi kwa ajili ya kugharamia…
