Siri Imevuja, Kumbe Mshindi wa Ballon d’Or 2016 Ameshajulikana, Bofya Hapa
Gazeti la Hispania ‘Mundo Deportivo’ Jumanne lilitoka na taarifa kwamba, mshindi wa Ballon d’Or 2016 tayari anafahamika. Habari hiyo iliwastusha baadhi ya watu, inadaiwa Cristiano Ronaldo amembwaga Leo Messi na kushinda tuzo hiyo.
2016…
