Kumbe rais mtarajiwa ndugu yangu kabisa
Yaani mimi mwenyewe bado sijaamini. Babu yangu ndiyo kaniita jana akaniambia hii siri kubwa ya kifamilia ambayo sasa ningependa kuwahusisha. Mara alipotangazwa mshindi wa mbio za urais babu yangu akaniita chumbani kwake, akaniambia,…
