The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

kunenge

Kunenge Awapongeza Wauguzi Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Aboubakar Kunenge, amewapongeza wauguzi wa mkoa huo kwa kazi kubwa na nzuri wanayoifanya katika kuokoa maisha ya wananchi, jambo linalosaidia kupunguza vifo. Amesema hayo leo wakati wa…

RC Kunenge Awataka Wananchi Kufanya Mazoezi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewasisitiza wananchi kuhakikisha wanafanya mazoezi na kuepuka ulaji usiofaa ili kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, saratani na…