Lamar amtimua Khloe Kardashian Hospitali
Staa wa kikapu Lamar Odom.
WAKATI ikielezwa kuwa Khloe Kardashian amekuwa karibu na staa wa kikapu Lamar Odom ambaye amelazwa, habari ni kuwa Odom amemtimua mrembo huyo ambaye ni mke wake kutoka hospitali kutokana na kutumia ugonjwa wake…
