Lampard Atoa Kauli Nzito Chelsea
ALIYEKUWA Kocha wa Chelsea, Frank Lampard, amefunguka kwa mara ya kwanza tangu alipotimuliwa na klabu hiyo jana kufuatia mwendelezo mbaya wa matokeo ya ligi mbalimbali ambazo timu hiyo imekuwa ikishiriki.
"Imekuwa fursa…
