The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Lema

Lema, Gambo Wakutana!

WAGOMBEA ubunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walipokutana Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo kutangaziwa walioteuliwa kugombea…

Godbless Lema Afikishwa Mahakamani

Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amefikishwa mahakamani mkoani Singida na kusomewa mashitaka 15. Tarehe mbili mwezi huu, Lema alikamatwa na polisi mkoani Arusha na kusafirishwa hadi mkoani Singida ili ahojiwe, baada ya…

Singida: Lema Aachiwa kwa Dhamana

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Arusha Mjini GodblessLema ameachiwa leo Machi 5, 2020, na ameenda kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Polisi (RCO) Arusha kama alivyotakiwa kufanya baada ya kupigiwa simu na…

Lema Asakwa na Polisi Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema amepata taarifa za kutakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi Arusha. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Lema amesema kuwa kwa nyakati tofauti polisi wamefika nyumbani kwake…

Godbless Lema Aitwa Polisi

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA) na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Godbless Lema ameitwa na Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini humo ambapo amedai kuwa wito huo umeonekana ni wa haraka na ni wa lazima. Kupitia…