MVP wa Ligi Kuu Aziz Ki Aeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni Kubeba mataji
MVP wa Ligi Kuu Bara 2023/24, Aziz Ki ameweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kuona wanatwaa mataji ili kuendeleza furaha ndani ya timu hiyo.
Ki anaingia kwenye orodha ya mastaa waliotwaa tuzo zaidi ya moja kwenye usiku wa tuzo zilizotolewa…
