The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Lionel Messi

Henry: Messi Hatoshi PSG

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry amesema kuwa kitendo cha PSG kumsajili Lionel Messi siyo suluhisho la matatizo yao. PSG walimsajili Messi wiki iliyopita na anatarajiwa kuanzia mazoezi na timu hiyo kabla ya mwisho wa…

Messi Akubali Miaka Mitano Barca

TIMU ya Barcelona imekubaliana na mshambuliaji wa timu hiyo, Lionel Messi kwa kumpa mkataba mpya wa kuitumikia timu hiyo. Barcelona na Messi wamekubaliana kusaini mkataba wa miaka mitano, ikiwa ina maana kuwa mshambuliaji huyo ambaye…

Messi Mchezaji Bora La Liga

BAADA ya kufunga mabao saba katika mechi tano, staa wa Barcelona, Lionel Messi ameibuka kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Februari ndani ya La Liga ikiwa ni tuzo ya kwanza kwake msimu huu. Mwezi Februari kwa Messi ulikuwa wa…

Messi Akubali Kukatwa Mshahara Barca

MASTAA wa Barcelona wakiongozwa na Lionel Messi wamekubaliana na klabu hiyo kukubali kupunguziwa mishahara yao ambayo inathamani kiasi cha pauni 110m kwa msimu huu. Barcelona imeamua kufanya hivyo kutokana na hali ngumu ya…

Griezmann Apata Dawa ya Messi

ANTOINE Griezmann amedhihirisha atakuwa tiba ya tatizo la Barcelona kumtegemea kupitiliza staa wao, Lionel Messi. Mfaransa huyo aliyejiunga na timu hiyo msimu huu, alipachika mabao mawili wakati timu hiyo ilipoicharaza Real Betis mabao…

Messi Aibua Mapya Karne Ya 21

MKALI wa soka duniani, Lionel Messi amezua mapya tena kwenye medani ya soka baada ya kuibuka na rekodi nyingine. Messi alianzia kwenye benchi wakati timu yake ya Barcelona ilipovaana na Leganes kwenye mechi ya La Liga,…

Messi Amtumia Ujumbe Gaucho

LIONEL Messi wa Barcelona amemtumia ujumbe nyota wa zamani wa timu hiyo, Ronaldinho ambaye amestaafu kucheza soka la kulipwa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Messi ambaye bao lake la kwanza alifunga akipata basi ya Ronaldinho…