Lungi: Skendo ya kuwauza mastaa iliniumiza!
HII ni safu mpya itakayokuwa ikiwafuata mastaa popote walipo na kufanya nao mahojiano mafupi juu ya mishemishe zao za hapa na pale. Kwa kuanza, leo tunaye msanii wa filamu Bongo, Lungi Mwaulanga.
Mwanadada huyo alifumwa na paparazi wetu…
