Angola Yapata Almasi Kubwa Zaidi na Adimu Katika Miaka 300
WACHIMBAJI wa migodi kaskazini mashariki mwa Angola, wamegundua Almasi kubwa ya aina yake ambayo haijawahi kugunduliwa katika miaka 300.
Operata wa tovuti wa Australia ameliita kuwa ni jiwe la karati 170 The Lulo…
