NDOA YA JIMMY MAFUFU NA MKEWE ILIVYONOGA KANISANI
Msanii wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu leo amefunga pingu za maisha na aliyekuwa mpenzi wake Upendo Meja katika Kanisa la AKUZAMU lililopo Kinondoni Biafra Jijini Dar.
Katika ndoa hiyo vifijo na nderemo vililindioma…
