Matatani kwa kumpa kichapo Mbunge wa CCM
NA Mayasa Mariwata, UWAZI
DAR ES SALAAM: Kimenuka! Mlinzi wa Kituo cha Mafuta cha Big Bon (wengine huita sheli) kilichopo Sinza-Mori, Dar yu matatani akidaiwa kumpa kichapo Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini (CCM), Prosper Mbena, Uwazi…
