Matokeo Kidato cha Sita 2020 Yapo Hapa
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) Agosti 21, 2020, limetangaza matokeo ya kidato cha sita kutokea visiwani Zanzibar ambapo kulikuwa na watahiniwa 82,440, sawa na asilimia 98.35 ya watahiniwa 84,212 waliofanya mtihani kidato cha sita…
