Maua Chenkula Adai Kusingiziwa Kifo Kulimpoteza Kwenye Ramani ya Muziki
MSANII wa nyimbo za Asili Maua Chenkula ambaye amekuwa akifanya mahojiano katika studio za 255globaradio na Global TV kwenye kipindi cha Mapito amesema kitendo cha kuzushiwa kuwa amefariki kimemuathiri kwa kiasi kikubwa katika tasnia…
