Bashe Aagiza Aliyekamatwa na Kiwanda Bubu cha Mawese Asaidiwe
BAADA ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kufanya msako mkali na kufanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Halifani Issa (42) mkazi wa Kongowe Wilayani Kibaha kwa kosa la kumiliki na kuendesha kiwanda bubu cha kuchakata mafuta ya mawese bila…
