Mbinu za Pluijm, Mayanja zafanana
Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm.
Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimekolea, ushindani sasa unaanza kuonekana kuwepo kwa timu tatu za juu ambazo ni Yanga, Azam na Simba, lakini wakati presha ikiwa kubwa…
