Michezo Ally Mayay Ateuliwa Kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Nchini Global Publishers Sep 20, 2022 GWIJI wa Taifa Stars Ally Mayay Tembele ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini kwenye Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.