Kim Kardashian, Mayweather Kwenye Kesi Nzito
NYOTA wa mitandao ya kijamii na televisheni Kim Kardashian ni miongoni mwa watu watatu maarufu waliotajwa katika mashitaka yanayoendelea ya watu waliowekeza pesa zao katika Kampuni ya sarafu za kidigitali inayofahamika kama Itrium Max…
