Watu 6 wa Familia Moja Mkoani Songwe Wanasakwa na Polisi kwa Uharibifu wa Mazingira
MKUU wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amemuagiza Kamanda wa Jeshi la Polisi kuwatafuta popote pale walipo watu sita (6) ambao wanatuhumiwa kwa kuhatarisha amani na uharibifu wa mazingira katika msitu wa Namwangwa uliopo Kijiji cha…
