LIVE MAKABURINI: GODZILLA AKIZIKWA MUDA HUU KINONDONI – VIDEO
Mwili wa Mwana Hip Hop Nguli Bongo, Golden Jacob 'Godzilla' tayari umewasili nyumbani katika amakaburi ya Kinondoni jijini Dar tayari kwa ajiili ya kupumzishwa katika nyumba yake ya milele.
