Global TV Online Lilivyofikishwa JENEZA la KIBONDE Nyumbani Kwao, Vilio Tu! – VIDEO Global Publishers Mar 9, 2019 Mwili wa marehemu Ephraim Kibonde, umewasili nyumbani kwao maeneo ya Mbezi mapema leo asubuhi na kupokelewa kwa vilio na majonzi.
Global TV Online MWILI WA KIBONDE ULIVYOAGWA, WATANGAZAJI CLOUDS VILIO! – VIDEO Global Publishers Mar 9, 2019 Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM, marehemu Ephraim Kibonde, umeagwa na maelfu ya watu wakiwemo viongozi wa serikali, Wasanii na watangazaji wenziye. Baada ya kuagwa mwili huo unatarajia kuzikwa leo Jumamosi saa 9, alasiri…