Mazishi ya tajiri mtoto, Moshi yazizima
Marehemu, Joseph Frank Maole enzi za uhai wake.
Na Mwandishi Wetu
MJI wa Moshi ambao ni Makao Makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro, Jumamosi iliyopita uligubikwa na simanzi wakati wa mazishi ya marehemu, Joseph Frank Maole ‘Tajiri Mtoto’ (36)…
