The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Mazishi

Mwili wa Hans Pope Wazikwa Iringa

MWILI wa aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu hiyo, Zakaria Hans Pope umepumzishwa katika nyumba yake ya milele eneo la Kihesa Mkimbizi mkoani Iringa jana Jumatano…

Mazishi ya TB Joshua Kuanza Leo

Tukio la kuwasha mishumaa linalotarajiwa kufanyika leo (Jumatatu) litaanzisha rasmi utararibu wa mazishi ya aliyekuwa muhubiri mashuhuri wa Nigeria na muasisi wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) aliyefariki mwezi…

Mbunge Khatibu Azikwa Pemba

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amewasihi Ndugu wa Marehemu Khatib Said Haji (Mbunge wa Konde) kuwa na subra katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa kuondokewa na kipenzi chao. Othman ametoa kauli hiyo…

Maradona Azikwa Chini ya Ulinzi Mkali

GWIJI wa soka wa Argentina, Diego Armando Maradona, aliyefariki dunia juzi Novemba 25, amezikwa na watu wachache, jana Alhamisi Novemba 27 mjini Buenos Aires, pembeni ya makaburi ya wazazi wake. Wanafamilia na…

Kaburi la Mkapa Laanza Kuandaliwa

ASKARI wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wameanza kuchimba kaburi linalotarajiwa kutumika kuupumzisha mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa aliyefariki usiku wa kuamkia jana Julai 24, 2020. Rais Mkapa…