Tajiri aliyedaiwa kuua kwa risasi, mazito tena!
David Kalangula enzi za uhai wake.
Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI
DAR ES SALAAM: Mazito yameibuka kuhusu bosi wa Kampuni ya Tripple A Hauliers inayosafirisha petroli mikoani na nje ya nchi, Hussein Jeta (30), ambaye…
