Mazito yaibuka ndoa mpya ya Wastara
Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma akiwa na mumewe.Sadifa Juma.
Dar es Salaam: HAYA ni mazito! Nyuma ya shughuli ya kuolewa kwa staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma na Mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Juma iliyofungwa…
