The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

maziwa

ATM ya Maziwa Yazinduliwa Moshi

HAKIKA Teknolojia inazidi kukua nchini Tanzania, leo Alhamisi, Oktoba 3, 2019 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya kuuza maziwa katika Mtaa wa Chagga, Kata ya Kiusa, Mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.…