Q Chillah, MB Dog wajiandaa na kolabo
Mkongwe katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’.
Said Ally, Dar es Salaam
WAKONGWE katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ na Mbwana Mohamed ‘MB Dog’ kwa sasa waumeungana…
