Walimu Dar Waandaliwa Tuzo Maalum Kuinua Ufaulu
WAALIMU wa shule za msingi na sekondari wa Kata ya Kijichi Mkoa wa Dar es Salaam, wameahidiwa kufanyiwa ziara ya mapumziko mafupi baada ya muda wao wa kazi ili kujenga na kuimarisha afya zao kwa kupumzisha…
