Airtel yaleta bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ MPYA
Dar es salaam, Desemba 12, 2017: Airtel Tanzania mtandao bora kwa Smartphone yako leo imezindua bando mpya zitakazojulikana kama ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ kwa lengo la kuwapatia wateja wake na watumiaji wote wa intaneti…
