The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Mbatia

Mkutano wa Mbatia Wazuiwa

MKUTANO wa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Taifa, James Mbatia,  umezuiliwa na ametakia kuripoti kituo kidogo cha polisi Lwangwa wilayani Rungwe. Mbatia ambaye amefika katika jimbo la Busokelo majira ya saa tano asubuhi leo…

Mbatia ndiye mbunge halali wa Vunjo

Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mh.James Mbatia. Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mh. James Mbatia amethibitishwa na mahakama kuu kuwa mbunge halali wa jimbo hilo baada ya kesi yake kuamliwa leo na Mahakama. Kesi hiyo ya uchaguzi katika Jimbo la…