Yamemkuta Baada ya Kudanganya Umri
KLABU ya FC Porto ya Ureno kuna uwezekano ikaachana na Beki wake Chancel Mbemba, Raia wa Congo DR baada ya kugundua kuwa Mchezaji huyo amedanganya umri wake.
Mbemba inaelezwa kuwa ana tarehe 4 tofauti za kuzaliwa zilizopo katika…
