Mastaa Yanga Wala Kiapo Kuiua Mbeya City
WACHEZAJI wa Yanga wameapa kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City utakaofanyika kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Mchezo huo utakuwa wa kwanza kwa Yanga katika mzunguko wa pili…
