ROTARY DAR MARATHON 2018 YAVUNJA REKODI IKIADHIMISHA MIAKA 10
Dar es Salaam. Mbio za Rotary Dar zimevunja rekodi ya kipekee mwaka huu huku zikiadhimisha miaka 10 tangu zianzishwe mwaka 2009.
Zaidi ya washiriki 15,000 wameshiriki mbio hizo ambazo zimehusisha mbio ndefu za kilomita 42.2, nusu…
