Sirro: Mwandishi Aliyepigwa Taifa, Alimkaba Askari – Video
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema kuwa mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi wakati akitekeleza majukumu yake katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Slaam, Agosti 8, 2018 alikuwa mbishi na alimkaba Askari polisi…
