Nape: Dkt. Mengi Alitupa Fedha Kwenye Begi… Mbowe: Ilikuwa Lazima…
MBUNGE wa Mtama (CCM), Nape Nnauye, ameeleza namna ambavyo Dkt. Reginald Mengi alivyokisaidia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wakiwa kwenye hali ngumu ya uchumi kwenye kipindi cha uchaguzi.
"Mchango wake kwa CCM ni mkubwa…
