The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Mbowe

Maamuzi Kesi ya Mbowe Ijumaa Hii

NI siku 6 mfululizo za uchovu, hasira, vicheko na afya kutokuwa imara kwa shahidi wa 13 kutoka upande wa Jamhuri, askari wa Jeshi la Polisi Tumaini Swila katika kesi namba 16/2021 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na…

Mbowe na Wenzake Wafunga Ushahidi

Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar ea Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi ndogo ya kupinga maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa tatu, Mohammed Abdillah Ling’wenya yapokelewe au la Desemba 14, 2021.…

Mbowe Aweka Pingamizi Mahakamani

Mahakama Kuu ya Tanzania Divesheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi inatarajia kesho imepanga kutoa Uamuzi mdogo wa pingamizi lililowasilishwa na Mawakili wa Upande wa Utetezi katika kesi ya uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya Ugaidi…