Mshindi wa M-Bet atia ubani mechi ya Simba
Dar es Salaam. Shabiki wa Simba na mkazi wa mkoa wa Songwe, Willy Mwakapembe Wadson ameshinda Sh 123,614,160 baada ya kubashiriki kwa usahihi jumla ya mechi 12 katika za mchezo wa kubahatisha wa Perfect 12 unaondeshwa na…
