Heche Azungumzia Migogoro ya Ardhi Tarime
MBUNGE wa Jimbo la Tarime (Chadema) John Heche, amezungumzia hofu iliyoibuka miongoni mwa wananchi wa Tarime baada ya ardhi yao kuporwa na kugawiwa kwa anayeitwa mwekezaji kinyume na utaratibu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam,…
