KATANI: SPIKA Hujawashwa na UPUPU, Ungeomba BIL 200 Zirudishwe – Video
Mbunge wa Tandahimba, Katani Hamad Katan, amesimama Bungeni kuchangia mjadala wa fedha za Export Levy za zao la Korosho ambazo wakulima wa zao hilo wanaotokea mikoa ya Kusini wanaidai ofisi ya Waziri wa Fedha na Mipango inayosimamiwa na…
