MABULA Achangia Ujenzi Ofisi za CCM Kata za Nyamagana! – VIDEO
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula, amejikita kusapoti ujenzi wa ofisi za CCM kata katika jimbo hilo ili kurahisisha huduma kwa wanachama wa chama hicho.
Mabula amesema anatambua kuwa umuhimu wa chama cha Mapinduzi (CCM)…
