Samatta: Msimu Huu Nitaandikwa na Kuimbwa Villa
HATIMAYE miamba 20 kunako Ligi Kuu England ‘Premier League’, leo inatarajia kuanza safari ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo kwa viwanja mbalimbali kuwaka moto huku kukiwa na Mtanzania mmoja tu, Mbwana Ally Samatta anayekipiga Aston Villa.…
