MC MAARUFU BONGO AKWAA SKENDO YA UTAPELI
PAMELA Mboma ‘Mc Pam Tony’ ambaye ni mshereheshaji wa kwenye maharusi na shughuli mbalimbali, amekwaa skendo ya kudaiwa kutapeli kiasi cha shilingi milioni moja, alizokopa tangu Machi 3, 2016 kwa makubaliano ya kulipa ndani ya mwaka mmoja,…
